Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka kama mtoto Ahiya, mam'ahiya Sina haja,ya kitu, mimi napona I'm free, kama maji Anatembeya mpaka katika pori Mimi, mi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina ota kama maua Ina pita kama nyota Ina waka kama jua Pole pole mama Wakati wangu umefika, mimi napona I'm free, kama hewa Ina ingiya mpaka fasi inapenda Mimi, ni masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina ona kama macho Ina waka kama moto Ina lia kama ngoma I'm free kama maji Ana tempaka mpaka kati ya pori Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji Kama mimi leo, mimi napona I'm free, I'm free Kama mimi leo, mimi napona Ahiya Mam'ahiya sina mali, Mungu, sina deni