Khadja Nin

Sina Mali, Sina Deni

Khadja Nin


Ahiya, Ahiya 
Kwa baraka 
Mimi napona 
Kabisa, ni hajabu 
Sina mwili tena 
Niko sawa upepo 
Mimi masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina nyesha kama mvua 
Ina ruka kama ndege 
Ina cheka kama mtoto 

Ahiya, mam'ahiya 
Sina haja,ya kitu, 
mimi napona 
I'm free, kama maji 
Anatembeya mpaka katika pori 
Mimi, mi masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina ota kama maua 
Ina pita kama nyota 
Ina waka kama jua 

Pole pole mama 
Wakati wangu umefika, mimi napona 
I'm free, kama hewa 
Ina ingiya mpaka fasi inapenda 
Mimi, ni masikini 
Sina mali mali, sina deni 
Mali yangu baba 
Ina ona kama macho 
Ina waka kama moto 
Ina lia kama ngoma 

I'm free kama maji 
Ana tempaka mpaka kati ya pori 

Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji 
Kama mimi leo, mimi napona 

I'm free, I'm free 
Kama mimi leo, mimi napona 

Ahiya Mam'ahiya 
sina mali, Mungu, sina deni