Afadhali kungoja kumgoja bwana Subiri, subiri bwana Usichukue njia ya mkato Usipotoshwe na shauri la wasio haki Heri mtu yule, afuataye sheria ya bwana Atakuwa kama mti, kando kando ya maji Huzaa matunda, kwa majira yake Kila atendalo atafanikiwa Umekuwa na maswali mengi mno Unashangaa mungu yuko wapi Umebisha bisha mungu yuko wapi Kufunga na kuomba Kukesha na kuomba Hupati majibu Mungu sio mwanadamu, hadanganyi Subiri kwa imani, subiri, wewe subiri