Tom: Am Am F C G [Verse 1] Am F Nilikuwa natafuta rahisi, C G Atakaye kuwa wa kudumu Am F Nilikuwa nimekosa tumaini C G Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga [Refrain] Am F C G Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu Am F C G Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh [Chorus] Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe C G Wewe ni mwaninifu milele Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe C G Wewe ni mwaninifu milele, Am F C G Milele,milele,milele..... Am F C G Taratatata [Verse 2] Am F Tena nikapata, marafiki kadhaa C G Punde shida ilipoingia nao waliondoka Am F Nikalia mpaka nilipokumbuka C G Kuwa kuna rafiki asiye badilika [Refrain] Am F C G Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu Am F C G Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh [Chorus] Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe C G Wewe ni mwaninifu milele Am F Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe C G Wewe ni mwaninifu milele, Am F C G Milele,milele,milele.....