mwanamke ni mtu na nusu kukatishwa tamaa usiruhusu mwanamke ni mtu na nusu kurudishwa nyuma usiruhusu na kama mwanaume ndo kichwa, cha familia basi mwanamke ndo shingo, na kiwiliwili amani ya mume aliye bora inatengenezwa na mke, anapoianza siku hata furaha ya mume aliye bora inakamilishwa na mke, ifikapo usiku yeeh si ujinga kukubali matokeo ooh na sio suala la kupinga wanatuzidi upeo ooh ingekuwa hiari yangu mimi ningewapa kila cheo ooh muaadilifu kama mama yangu sijamuona mpaka leo ooh samia suluhu ni mtu na nusu mboni mpaye mpango ni mtu na nusu mariam mwinyi ni mtu na nusu mary majaliwa ni mtu na nusu dkt tulia ni mtu na nusu anna makinda ni mtu na nusu bibi titi ni mtu na nusu sophia kawawa ni mtu na nusu pata kucha litazama na lifike kiama hutomwona kama mama mama mwanamke ni kiumbe jasiri mama ndie mungu was pili ile miezi sita ni siri baba asingeweza hata miwili hata uwe tajiri tajiri kamwe huwezi kuwa na mama wawili wawili mume ataoa wawili mwanamke hawezi kuwa na wawili fikiri si ujinga kukubali matokeo ooh na sio suala la kupinga wanatuzidi upeo ooh ingekuwa hiari yangu mimi ningewapa kila cheo ooh muaadilifu kama mama konde sijamuona mpaka leo ooh maria nyerere ni mtu na nusu bi fatuma karume ni mtu na nusu sitti mwinyi ni mtu na nusu mama anna mkapa ni mtu na nusu salma kikwete ni mtu na nusu janeth magufuli ni mtu na nusu getrude mongela ni mtu na nusu bi mwenda ni mtu na nusu bi kidude ni mtu na nusu mama khadija kopa ni mtu na nusu