na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita kama kupata kwa zamu, oooh zamu, yangu itafikaa siwezi kana damu, kesho wataja nizika ila ningependa afahamu, haya mateso aloniipa mmmh.! tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata icheleweeh oooh oooh ooooh sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama kaya cha kujibu sina nabaki tu kusema atarudii, atarudi mama atarudi, anawapenda sana atarudi, atawaletea zawadi atarudi, eeeeh atarudi mama atarudi, atarudi mama atarudi, anawapenda sana atarudi, atawaletea zawadi atarudih