Yeah (Ye Baba) Kupenda ni vitendo Si maneno maneno Leo nakupa kitengo Kwa kufika malengo Umeziba mapengo Kwa upendo upendo Eeh bwana wala huzingui Anzeni vikao vya send off yeah Maana we mrembo nakujuza Mama nashukuru umekuza Chanda chema pete nitakutunza Na maa ngoja wote wapuuza Na umeshanizima Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Your love your love Na umeshanizima wee Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Your love your love Ka majani na udongo yeah Nnje ya sayari nikuite kimondo, ooh Kama chungu ya kibongo Na usiyape time yakutibue nyongo (no) Maana we mrembo nakujuza Maana nashukuru umekuza Chanda chema pete nitakutunza Na maa ngoja wote wapuuza Na umeshanizima eh Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Your love your love Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Na yoyoyoyoyo-your love Your love your love Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe) Dodo, mama dodo (Hata utikisa halitodondoka) Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe) Dodo, mama dodo (Dodo) Dodo, dodo langu wewe Dodo, dodo, dodo langu wewe Hata utikisa halitodondoka Mama muogopa, mama muogopa Mama muogopa, mama muogopa