Zuchu

Sukari

Zuchu


Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza)
Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza)
Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza)
Japo imesibitishwa ila itampoteeza aaa
Ikipanda ni balaaa (naogopa)
Ikishuka ndo hataali (naogopa)
Asije pata madhalaa (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Radha yake msalaa (naogopa)
Shila ya kizanzibar (naogopa)
Nami simpii mi walaa
Akitaka nampa

Ai su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)

Na akilia njaa
Njuu njaa sifanyi ajisi
Namjazia jaa
Juu jaa na vitangawizii eeeh
Baba chanja baba chanja e (eeeeh)
Chukua vyote chukua (kulaa)
Vitafune nganjanganja e (eeeeh)
Chakua mwaya chakau (kulaa)
Ujibusti na karanga e (eeeeh)
Tuliza na kitumbua ila (kulaa)
Jiadhali na majanga wee
Usije ukaugua mana
Ikipanda ni balaaa (naogopa)
Ikishuka ndo hataali (naogopa)
Asije pata madhalaa (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Radha yake msalaa (naogopa)
Shila ya kizanzibar (naogopa)
Nami simpii mi walaa
Akitaka nampa

Ai su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
Suger sukari (nampatia)
Su kaari (nampatia)
A Suger sukari (nampatia)

Nimloge kwanini kashanogewa (daambua dambua)
Udambu wa sukarini tamu kolea (daambua dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Alua aluaa (dambua)
We dambua (dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Inama kama unafuaa (dambua)
Kigulu nyanyuaa (dambua)
Ey