Umenchanganya oh mama na sikatai (sikatai) Ulivo sexy sexy, i'm gonna die (i'm gonna die) Uzuri kakupa mama ruksa njidai Harufu karafuu ya Zanzibar marashi ya Dubai Aloh Tunafanana kama nyota na mbalamwezi Twaendana kutena pangea mwenyezi Tunafanana kama nyota na mbalamwezi Twaendana kutena pangea mwenyezi Asa nibebe nikubebe Domo zege nikatengede Una utege, kiuno lege Utetoboa shati na chuchu dede Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Te que, te quiero Sijajificha kwenye chaka lako umenificha we Na nakupenda usiku mpaka kukicha Unataka yangu nataka yako kila dakika Na nnavopenda vitu yako aaahh Usipotoka machoni mwengu sitamani ata kula Nahisi raha, utamu Unaikosha nafsi yangu Na toka ujifungie moyoni mwangu Honey nafurahi naona raha, utamu Unaikosha nafsi yangu aaahhh Hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa aahh Aaah baby Asa nibebe nikubebe Domo zege nikatengede Una utege kiuno ulege Utatoboa shati na chuchu dede Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero Aaahhhh I fall in love I fall in love