Huu mwaka eeh Ndo mwaka wakufosi Yaani mtake msitake Huu mwaka mtaniita boss Oya! Sieti, Chui! Oh, no, no, no (Ma Feelings make It) Huu mwaka eeh Ndo mwaka wakufosi Yaani mtake msitake Mtaniita boss Huu mwaka eeeh! Wa Faida sio loss Tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi Sisi mungu! Anatulinda Japo maadui wengi wanatiwinda Vita nyingi ila tutashinda Tushanyanyasika Huu mwaka mwendo wa kuvimba! Huu mwaka nanunua gari niwape lifti Ameen! Huu mwaka namaliza nyumba yangu kibiti Huu mwaka wa machozi Kwa Ex alienisaliti Siku ya harusi yangu msimpe hata juisi Anikomee! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeh Ndo mwaka wakufosi Yaani mtake msitake Mtaniita boss Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Kwanza nashukuru tumevuka Tumeuona Yale yalio pita yametukomaza Oya wanangu wa boda boda Wakina mama wauza mboga Ata wachawi wabeba nyota Huu mwaka ni wetu Kama unadanga danga sana Ila usisahau ku meki bwana Uje kujenga kakibanda Nawe uwe na kwenu Na ukipata limama, eeh likomoe Likupe pesa huu mwaka utoboe Oya usikae kizembe Na usichague jembe Kama mkulima lima Kama unaimba imba Utoboe Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh! Huu mwaka eeeh!