Wateule Tulioweka imani kwa yule Aliyetufia Wateule Tulioweka imani kwa yule Aliyetufia Sauti ya shaka, sauti yasema Hatutasimama, hatutaendelea Na sisi twasema, tutasimama Mungu yuko upande wetu Mkristo simama! Fungua macho Uone jeshi la malaika Limetuzingira Fungua macho Uone jeshi la malaika Tutashinda vita Wateule Tunaomuishia yule, anayetupenda Wateule Tunaomuishia yule, anayetupenda Mawazo ya shaka, mawazo yasema Hatutashinda, hatutaendelea Na sisi twasema, tutashinda Mungu yuko upande wetu Tutasimama!