Ooooh Ooooh Yeah Mmmmh Mmmmh Mmh (let's vibe) Nipende sana mi nataka wale Walo sema kwamba utaniacha wanune Tupendane yani mpaka wale Wanaosubiri tuachane wachunde Acha wakae vikao wamalize waganga Yanawashinda ya kwao waone kama Waganga Hao hao Hatuli hatulali kwao unawa ponza uganga Huoni hata sura zao mbaya Wana nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu Wakinifata nakimbia nakufata wewe tu Asa ukitaka mi nilie amua wewe tu Ama nitoke hadharani niseme I love you I love you I love you I love you Oooh Mmmh yeah ooh Aiiiii I loove yoouu Ouoooh Oouoh Ndagukunda Je t'aime Te amor Te quiero Jeg elsker deg Honey, ich liebe dich nakupenda Kila siku nikikuona nakuona mpya Kila siku nikikuona nakuona we mzuri wewe Kila mara yako wewe naona tamu tamu Hapa bado namuomba mungu wa mwisho uwe ni wewe Wanao nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu Wakinifata nakimbia mbio nakusaka wewe tu Hata ukitaka mi nilie utaamua wewe tu Hata ukitaka nitoke hadharani nitangaze yakwamba I love you Ooh I love you uuh i love you I love you I love you bora niseme you know i love you I love you Oooh! Yeah Ooooooh I love you Ooooh ooh Mmmh yeah The mix killer