Jay once again (S2Kizzy baby) Mm-hmm (nenga) Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, la-la Hi! Wacha niseme kitu boo Siwezi kukutoa machozi maana mi' sio kitunguu Kila siku kwetu sikukuu Valentine sio issue kwetu si' ni siku tu!? Najua unapenda zawadi ma-gift Na ndo' maana work hard niku-fix Iwe shida ya mavazi, chakula na maradhi Sometimes niko radhi niji-risk 'Nachofurahi hata nikikosa unaniombea kwa mungu Wapo wal'owahi nitosa kisa sina fungu Nakumbuka longtime ilivyokua hard time (hard time) Kabla hujanitoa kwa ukungu you'shaambiwa maneno shazi you'shaambiwa mi' sina hadhi Ukaambiwa mimi jambazi Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji you'shaambiwa maneno shazi you'shaambiwa mi' sina hadhi Ukaambiwa mimi jambazi Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, la-la Cheki ulivyopinda, ukivaa unapendeza Timu I'shakuamini chagua namba utayocheza Macho ya kichokozi yani kama unakonyeza Spending money for your love kwako nawekeza Zuzu, zuzu, ushanizuzua Nishakuvisha vyeo na hakuna hatakae kuvua Na kitu usichojua hata wakisema unajiuza Waambie mi' nd'o ninaekununua you'shaambiwa maneno shazi you'shaambiwa mi' sina hadhi Ukaambiwa mimi jambazi Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji you'shaambiwa maneno shazi you'shaambiwa mi' sina hadhi Ukaambiwa mimi jambazi Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh Oh, la-la Mm-hmm, mm-hmm Mm-hmm, mm-mm-mm Mm-hmm, mm-hmm Mm-hmm, mm-mm-mm (kamix lizer)