Moyo wangu inakwenda mbiyo Tabasamu lako maua Mwendo wako na maringo inanipeleka ulingoni Moyo wangu simama Nimepata kipenzi Mimi kwako nimefiika, oh lalala Kwa mwingine sitaki, oh yayaya Nikikuona ni kama nakuona, kwa kio, kwa kio You one in a million, nachagua wewe tu I will choose you anytime Usiende mbali na mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Oh yayaya Usiende mbali na mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Oh yayaya Kila uku wami uhora Nayi maruha kussi bavouni I Roho yangou yo ni hodza (ye-eh-eh-eh) Namo wona mwendro waho mavareni Dharuba de yikao chitsoini Nissi hu vendza kiyassi yahu tocha Matso yaho yo vaga uku uri mwezi (ye-eh-eh-eh) Mungu ahuva uzuri na ujuzi Kweli subira uka na nyongo Nambiya ka ussi tsaha nifanye ntrongo Tsoko yontsi pare rike voimoja (voimoja) (Voimoja) I Roho ilemewa Wala ussi darawu mahaba yangou Yo kayassina mpaka Usiende mbali na mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Oh yayaya Usiende mbali na mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Oh yayaya Usiende mbali na mimi, I need your love Bassi nimba bahati Nike waho Ntrongo trini de ya huziya uja na wami Chérie, sans toi je sombre dans la folie (Nari vendzane) nari vendzane (Nari afikane) oh, nari afikane (Nari vendzane) oh ye (Nari afikane) (Nari vendzane) pamoja you and I (Nari afikane) till the end of time (Nari vendzane) baby, you and I (Nari afikane) till the end of time (Nari vendzane) baby, you and I (Nari afikane) baby, mimi na wewe (Nari vendzane) baby, you and I (Nari afikane) Baby, you and I till the end of time Baby, mimi na wewe Bassi rissi latsé wakati