Iiiyaah, is your boy cool b Fitzon dai being, the changamka starz music Yeeaaba We do this like no more Kama kawa tumerudi tena Aah Leo nina party katikati, kunywa tu mawine Ongeza na mandazi, madem wameswag Utadhani ni mababi, party iko fine cheza nasi mbali (jiaah) Gate crush itabidi mko ndanii, life time nikuparty na mamanzi Kila mtu amefil, amechiz hapa ndani Mabeshte na mahater, itabidi mmekubali Wacha niwasho, mambo basi Cool b i don't fear, hata mki kam na magun Coz this party tunaparty, bila wasi wa Wasi wasi Cool b, fitzon dai, kambona, na machali na mamanzi na vinywaji Party lyk no more Party lyk no more, party lyk no more Na warembo Na machali Na vinywaji, party lyk no more Na vinywaji, party lyk no more Akuna pupa, bash ni kuparty Unafil, vunja mifupa Una manzi kam kwenye denci Una manzi chunga mafisi Akuna cha kukaa na mabinti Akuna cha kutoa masharti Akuna cha kupiga makofi Changamka starz, si ndio mababi Leo tuna party, leo tuna par-ty, tuna party Leo tuna party, leo tuna par-ty, tuna party Eeh Eehh Party lyk no more, party lyk no more Na warembo Na machali Na vinywaji, party lyk no more Na vinywaji, party lyk no more Fitzon dai beiby Hii party imebeba beba wasupa buda wamebeba vinoma Wanatingisha viuno mabega, mpaka kwa kilub wanafil hii ngoma Na ukicheki usikuwe umeketi, wee amka na kisha ubanjuke tu Hii si siri mpaka mapastor wanabanjuka tu Hii floor imebeba wasupa kuruka, utadhani kumezuka Fitzon dai siwezi epuka ghipuka, nimedata na mkamba Pastor akisoma stanza ya kwanza, msee anafil ameguzwa buda Na akitoka kidogo kisha aone msupa Niaje msupa Party lyk no more, party lyk no more Na warembo Na machali Na vinywaji, party lyk no more Iiiyaaaah, changamka starz music Forkfear ent, skag on the beat Pa, pa, pa, party lyk no more Aah ha ha ha Endever