It's about the time, kusimama ka simba pale jungle Na sitawai go down, coz nahisi kuna nguvu za holy spirit zinaniinua juu Na, najua nitafika, coz tayari meli ishangoa nanga Na akuna kuzama hadi, niflight juu nifikie Obama Na kaa unabiff si ungekuwa osama Bt usijali, tunahisia tofauti Ila ni mungu peke anayepanga na kupangua Na sisi wanadamu tukipangiwa mazuri, wengine wanapagua Inauma, bt lakini itabidi kuzoea tu (manze) Fitzon dai am goner be stronger, na akuna atakaye nionga Coz age ya explanation ilishadai, na mimi nadai kuchange career Ndio wale wanijui, watashika doria vizuri Na mafans msijali, hivo ndo safari hukua Mungu, sikia kilio cha wakenya Sikia kilio cha wasani Sikia kilio cha mapastor Mayatima, maskini, matajiri, wangonjwa Wasikizee Dunia nzima inakulilia Wanadamu, wanyama pori, samaki, ndenge Wadudu. Wote wanakutegemea na bila wewe atuwezi Na wengi wao wamepoteza imani Mungu uwalinde na.. Uwaongozee Ni safari, bt kila binadamu ni mpita njia Awe tajiri, awe maskini Wote tuko sawa ukifuatilia, mungu anawaskiza pia wale wanao mlilia Na usichoke kumuomba, ipo siku pia wewe atakupatia Ukipanda milima na mabonde, bado anakutazamia So wewe usijali (sijali), safari ni kuvumilia Dunia ni tamu, bt kuna wanadamu wana aribu Wanajifanya wanajenga, kumbe nyuma yao wana majitu za kubomoa Mna bahati, kuna wanadamu wenye utu duniani Wale wa kupita na kujione Ni uchungu, lakini yote tunamwachia maulana Na tuombe kwa sana, juu dalili zishaonekana Jua kujilinda na ukawalinde wenzako pia I dream, i used to glance beyond the stars Bt sai nafahamu mahali nilipo ni mimi na mungu wangu Coz 2021, ndio ile mwaka naisubiria (hio ipo manze) Mungu, sikia kilio cha wakenya (waskizee) Dunia nzima inakulilia Wagonjwa, watoto wadogo wanakufa (inauma) Sikia kilio chao (tunawapoteza manze) Wanaume wanalia, waskizee Dunia nzima inakulilia... (eeh manze) Sikia kilio cha walimu Madaktari, madereva, na viongozi Wote wanakutegemea, coz they need you Fitzon dai Niskize Endever cla$$ic Show me records