Fitzon Dai

Kerewa

Fitzon Dai


Fitzon dai beiby
Aah
You know what it is
Ahhh

Ninachapa kama font ya bowl, hata wakibonga bado mimi na gouwo
Sooner nitapata madooh, life nibadili kama nzi kwa choouwo
Check one you know, if you wanna know
Am the one who know, you fill it more (more)
Usijali wee endelea ku go (go)
Mungu atakubariki na more (more)
Ila ukiwa na chuki uta low (low)
Juu maisha ni kuhumble, mwendo wa taratibu yaani utafika ngambo
Mola kashapanga, maisha kupambana
Usiku na mchana, utayapita ya ujana
Na maji yakizidi, subiri ya uzee
Na bahati ikipita, mwezi huu je?
Na ukizidi kunicheka, ndio baraka za ongezeka

Kerewa, kerewa shaku
Kerewa, kerewa papa
Kerewa, kerewa socco
Zagazaga za ndoli
Zagazaga za ndoli

Dance kide, dance kide, dance kide
Move your body
Dance kide, dance kide, dance kide
Roll your body
Dance kide, dance kide, dance kide
Shake your body
Shake your body

Si una juu juu fat in the bobo
Hata iwa cost mi na fight kugain more more
Si wana beef watabaki kuwa toto
Usiku nikipita nitawacheki kama popo
Ile design ya kupita nao
Kuwatimulia vumbi kama mat za rongai
Hii game ya kucheza loto, ufikiri mbona nilibaiwa kandai
Ah, mapopo si ni mapopo, atukuwai jua kama itakuwa ndoto
Na suu ju mungu yupo, hata kwa wale wote tuliwapoteza
Na shu-judu wito, juu mungu wangu amenifanya niwe vimba
We taste it in dish on the beach
We call beast, the wrong they preach
In form six, the way they teach
And that's why we clinch on the tree
And that's why we clinch on the tree

Kerewa, kerewa shaku
Kerewa, kerewa papa
Kerewa, kerewa socco
Zagazaga za ndoli
Zagazaga za ndoli

Dance kide, dance kide, dance kide
Move your body
Dance kide, dance kide, dance kide
Roll your body
Dance kide, dance kide, dance kide
Shake your body
Shake your body

Fitzon dai beiby
The changamka starz music
Endever cla$$ic
Yeahh