Ooh, nanananaa, aah Ooh, nanananaa, aah Ooh, nanananaa, aah Fitzon dai Wapo wengi wenye donda, aah Huku saa sita imegongaa, aah Ibilisi amenisongaa, aah Nikiwapa watabongaa, aah Maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama Kutaka kuniweka chini, nami sitaki hunyonge beiby (Wanaongana usiku n mchana hili tuachane beiby Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama) Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama) Naitaji upendo wa dhati Ila ukiniacha nilewe Matatizo yani hurtii Ooh ma bebi nielewee Ooh ma bebi nielewee Wanaringa wataki niwe nawee.. Iyo ni ndoto Wakati mapenzi yangu nawee.. Wanaitazamia ghetto Wakati mapenzi yangu nawee.. Wanaitazamia ghetto Kama safari kwangu mawee... Iyo ni bevoo Na sitaki kipenzi kingine beiby, ila niwe Maisha yangu.. Ni wewe Kipenzi changu ni wewe Muhudumu wangu ni wewe Doctor wangu ni wewe Naitaji upendo wa dhati Ila ukiniacha nilewe Matatizo yani hurtii Ooh ma bebi nielewee Ooh ma bebi nielewee Hook Maneno yao kisirani, huwa yananichoma mama Kutaka kuniweka chini, huwa mishemishe mama Wanaongana usiku na mchana, hili tuachane beiby Nasitodiriki kuumizwa donda huwa hamishemishe mama aa Yeaah.... Fitzon dai beiby Changamka starz music Back Big up panya mtu For discovered me fitzon dai Holla Naitaji upendo wa dhati Ila ukiniacha nilewe Matatizo yani hurtii Ooh ma bebi nielewee Ooh ma bebi nielewee Oooh ma bebi nielewee Oooh ma bebi nielewee Oooh ma bebi nielewee Oooh ma bebi nielewee