Jeshi Ia Bwana amka Tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie Maana yote yawezekana Jeshi Ia Bwana amka Tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie Maana yote yawezekana ooh Hakuna asiloweza Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Let the army of God arise With the armor of God arise Sing and shout to the king of kings All things are possible And nothing is impossible Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Tumezungukwa na Majeshi ya Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu Tumezungukwa na Majeshi wa Mbinguni Tumezingirwa na uwepo wako Mungu Come on lift your hands to Jesus Ah, ah, ah I say tume tume tume tume Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu Tumesimama kazi ya msalaba Tumeshinda sisi eeeh Tumeshinda yay yay (ona ona) Tumesimama kazi ya msalaba Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu