Malenga wa kubadili zao nia Kama una masikio sikia Usije basi ukapuliza gunia Na wenye roho nyepesi watasengenya Hawatatuombea Na mi nishakupenda wee Kwa wazazi nikupeleke Na mi nishakupenda wewe, wewe La, la, la, la, la, la, la, la La, la, la, la, la, la, la, la La, la, la, la, la, la, la, la La, la, la, la, la, la, la, la Subira jaribu kuivuta leo Subira jaribu kuivuta eh Subira jaribu kuivuta leo Subira jaribu kuivuta leo Bagua, bagua, utabaguliwa Pokea utakubaliwa Tabia tabia, imani ndiyo njia Nimeamua nikupende Watu wasitenganishe Niwe wako milele Juu mi nishakupenda wewe Kwa wazazi nikupeleke Mi nishakupenda eeeeeh