Kama unanipenda sana Umaarufu weka mbali Na ile nyumba ni ya mama Hivyo usiwaze madale Isiwe kesho madrama Napigiwa simu na tale Hadi insta natukanwa Umeshaanzisha kwale Moyo wangu Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda akinidharau Moyo wangu Hodari wa kugawa wa kunipa sina Moyo wangu Ndio maana nasisitiza usije na wewe Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Muziki vita Hawataki niendelee Hivyo ukipata nafasi Tafadhali niombee Na nyumbani visa Ndugu zangu wazoee Itaniumiza nafsi Ikifikia musiongee Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao Tahadhari sana Si unajua wanamuziki vitabia vyao Wamejawa tamaa Oh na! Na dada zangu mawifi Chunga nyendo zao Usipelekwe mlama Wakikwambia kaniki mara chota nyayo Jua mumewe nakwama, ah Utamu wa big g ni kutafuna Usimeze uroda Ongeza tu bidii kunikuna Sio kuniroga Kunikomba zaidi Pika nguna nitaleta mboga Unipe na kabibi kwetu suna Nishushie na soda Moyo wangu Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau Moyo wangu Nateseka sana nayempenda akinidharau Moyo wangu Hodari wa kugawa wa kunipa sina Moyo wangu Ndio maana nasisitiza usije na wewe Baila baila baila (oh bailando oh) Baila baila baila (baila kipenzi) Baila baila baila (eeh eeh) Baila mama (bailando oh) Baila baila baila (baila kidogo) Baila baila baila (baila nione) Baila baila baila (eeh eeh) Baila mama (bailando oh) Usiseme you love me Then you lying Usiseme you love me Then you lying Usiseme you love me Then you lying Usiseme you love me Then you lying Baila baila baila Baila baila baila Baila baila baila Baila mama Baila baila baila (oh baila) Baila baila baila (baila kipenzi) Baila baila baila Baila mama